Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Offerings: To be made to God alone

2 mistari · 61 vipengele

Mistari kuhusu To be made to God alone

  1. “Mtu awaye yote anayemtolea mungu mwingine dhabihu isipokuwa Bwana, lazima aangamizwe.

  2. Malaika wa Bwana akamjibu, “Hata kama utanizuia, sitakula chochote kwako. Lakini ukitaka kuandaa sadaka ya kuteketezwa, mtolee Bwana hiyo sadaka.” (Kwa kuwa Manoa hakujua kuwa alikuwa malaika wa Bwana.)