Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Nimshi: Father of Jehu.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Father of Jehu.

  1. Ukifika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi. Enda kwake, umtenge na wenzake, na umpeleke katika chumba cha ndani.

  2. Yule mlinzi akatoa taarifa akasema, “Mjumbe amewafikia, lakini hata yeye harudi. Uendeshaji ule ni kama wa Yehu mwana wa Nimshi, anaendesha kama mwenye wazimu!”