Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Nation: Peace of

6 mistari · 11 vipengele

Mistari kuhusu Peace of

  1. Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa,

  2. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.

  3. Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana.

  4. Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako.

  5. Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe yetu.

  6. Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli.