Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mother-in-Law: Not to be defiled

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Not to be defiled

  1. “ ‘Usikutane kimwili na mwanamke kisha na binti yake. Usikutane kimwili na binti wa mwanawe au binti wa binti yake; hao ni ndugu zake wa karibu. Huo ni uovu.

  2. “ ‘Ikiwa mwanaume ataoa binti pamoja na mama yake, huo ni uovu. Wote watatu ni lazima wachomwe moto, ili kwamba pasiwepo na uovu katikati yenu.

  3. “Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mama mkwe wake.”