Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Modern Samaria: More humane and grateful than the Jews

7 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu More humane and grateful than the Jews

  1. Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa akisafiri alipomwona, alimhurumia.

  2. Akaenda alipokuwa na akasafisha majeraha yake kwa divai na mafuta, kisha akayafunga. Ndipo akampandisha kwenye punda wake, akampeleka mpaka kwenye nyumba ya wageni na kumtunza.

  3. Kesho yake, yule Msamaria akachukua dinari mbiliakampa yule mwenye nyumba ya wageni na kusema, ‘Mtunze, nami nirudipo nitakulipa gharama yoyote ya ziada uliyotumia kwa ajili yake.’

  4. “Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyangʼanyi?”

  5. Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.

  6. Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa?

  7. Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”