Mistari ya Biblia kuhusu Meshullam: 4. Three Benjamites
Mistari kuhusu 4. Three Benjamites
Zebadia, Meshulamu, Hizki, Heberi,
Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;
Ibneya mwana wa Yerohamu, Ela mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya.