Skip to content

Zerahiah

5 mistari · 2 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Ahitub

Mistari inayomtaja Zerahiah

  1. Uzi akamzaa Zerahia, Zerahia akamzaa Merayothi,

  2. Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi, Uzi akamzaa Zerahia,

  3. Azaria mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu aliyekuwa afisa kiongozi wa nyumba ya Mungu.

  4. mwana wa Zerahia, mwana wa Uzi, mwana wa Buki,

  5. Seraya mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi katika nyumba ya Mungu,