Skip to content

Meraioth

6 mistari · 2 wanafamilia

Mistari inayomtaja Meraioth

  1. Uzi akamzaa Zerahia, Zerahia akamzaa Merayothi,

  2. Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,

  3. Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,

  4. Azaria mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu aliyekuwa afisa kiongozi wa nyumba ya Mungu.

  5. mwana wa Amaria, mwana wa Azaria, mwana wa Merayothi,

  6. Seraya mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi katika nyumba ya Mungu,