Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Lystra: Timothy a resident of

4 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Timothy a resident of

  1. Paulo akafika Derbe na kisha Listra, ambako kulikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, ambaye mama yake alikuwa Myahudi aliyeamini, lakini baba yake alikuwa Myunani.

  2. Alikuwa amesifiwa sana na wale ndugu waliokuwa wameamini huko Listra na Ikonio

  3. Paulo alitaka Timotheo afuatane naye, hivyo akamchukua na kumtahiri kwa sababu ya Wayahudi waliokuwa wanaishi eneo lile kwa maana wote walimjua baba yake ni Myunani.

  4. Walipokuwa wakienda mji kwa mji, wakawa wanawapa maamuzi yaliyotolewa na mitume na wazee huko Yerusalemu ili wayafuate.