Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Liberality: A proof of not having faith

3 mistari · 55 vipengele

Mistari kuhusu A proof of not having faith

  1. Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa?

  2. Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula,

  3. mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini?