Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Lazarus: Supped with Jesus

2 mistari · 4 vipengele

Tafuta "Lazarus"

Mistari kuhusu Supped with Jesus

  1. Siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alikwenda Bethania mahali ambako Lazaro aliyekuwa amefufuliwa na Yesu alikuwa anaishi.

  2. Wakaandaa karamu kwa heshima ya Yesu. Martha akawahudumia wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Yesu.