Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Lamentations: Of David

3 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Of David

  1. Kwa mwimbishaji. Mtindo wa “Shushani Eduthi.” Utenzi wa Daudi wa kufundisha. Wakati alipopigana na Waaramu kutoka Aramu-Naharaimu na Aramu-Soba, naye Yoabu akarudi nyuma na kuwaua Waedomu 12,000 katika Bonde la Chumvi. Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu, umekasirika: sasa turejeshe upya!

  2. Umetetemesha nchi na kuipasua; uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka.

  3. Umewaonyesha watu wako nyakati za kukata tamaa; umetunywesha mvinyo unaotuyumbisha.