Mistari ya Biblia kuhusu King: Loyalty to, enjoined
Mistari kuhusu Loyalty to, enjoined
Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, bali mtu mwenye hekima ataituliza.
Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.