Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Joash: 3. Father of Gideon

4 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu 3. Father of Gideon

  1. Yerub-Baali mwana wa Yoashi akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake.

  2. Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.

  3. Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki.

  4. Gideoni mwana wa Yoashi akafa akiwa na umri mzuri wa uzee, na akazikwa katika kaburi la Yoashi baba yake huko Ofra ya Waabiezeri.