Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jehoahaz: Prophecies concerning

3 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Prophecies concerning

  1. Usimlilie yeye aliyekufa, wala usimwombolezee; badala yake, afadhali umlilie kwa uchungu yule aliyepelekwa uhamishoni, kwa sababu kamwe hatairudia wala kuiona tena nchi yake alikozaliwa.

  2. Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Shalumu mwana wa Yosia, aliyeingia mahali pa baba yake kuwa mfalme wa Yuda, lakini ameondoka mahali hapa: “Yeye kamwe hatarudi tena.

  3. Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.”