Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Janohah

2 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. na kuendelea mpaka baharini. Kutoka Mikmeta upande wa kaskazini ulipinda kuelekea mashariki hadi Taanath-Shilo, ukiupita hadi Yanoa upande wa mashariki.

  2. Kisha uliteremka kutoka Yanoa hadi Atarothi na Naara, ukagusa Yeriko na kutokea katika Mto Yordani.