Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Incense: Symbolic of the prayers of saints

2 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Symbolic of the prayers of saints

  1. Malaika mwingine aliyekuwa na chetezo cha dhahabu, akaja na kusimama mbele ya madhabahu. Akapewa uvumba mwingi ili autoe pamoja na maombi ya watakatifu wote, juu ya yale madhabahu ya dhahabu yaliyo mbele ya kile kiti cha enzi.

  2. Ule moshi wa uvumba pamoja na yale maombi ya watakatifu, vikapanda juu mbele za Mungu, kutoka mkononi mwa huyo malaika.