Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Hell: The translation of the Hebrew word »sheol,« which signifies the unseen state. Sheol is also translated as »pit,« »lowest pit,« »Sheol,« and »grave« in some versions

4 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu The translation of the Hebrew word »sheol,« which signifies the unseen state. Sheol is also translated as »pit,« »lowest pit,« »Sheol,« and »grave« in some versions

  1. Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari.

  2. Lakini Mungu atakomboa uhai wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake.

  3. Niliyafanya mataifa yatetemeke kwa kishindo cha kuanguka kwake wakati nilipoushusha chini kaburini pamoja na wale washukao shimoni. Ndipo miti yote ya Edeni, miti iliyo bora kuliko yote na iliyo mizuri sana ya Lebanoni, miti yote ile iliyokunywa maji vizuri, ilifarijika hapa duniani.

  4. Wale walioishi katika kivuli chake, wale walioungana naye miongoni mwa mataifa, nao pia walikuwa wamezikwa pamoja naye, wakiungana na wale waliouawa kwa upanga.