Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Hatred to Christ: No escape for those who persevere in

3 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu No escape for those who persevere in

  1. Je, mnadhani ni adhabu kali kiasi gani anayostahili kupewa mtu aliyemkanyaga Mwana wa Mungu chini ya nyayo zake, yeye aliyeifanya damu ya Agano iliyomtakasa kuwa kitu najisi na kumtendea maovu Roho wa neema?

  2. Kwa kuwa tunamjua yeye aliyesema, “Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza.” Tena asema, “Bwana atawahukumu watu wake.”

  3. Ni jambo la kutisha kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai.