Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Harvest: Of barley, before wheat

2 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu Of barley, before wheat

  1. (Kitani na shayiri viliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa katika kutoa maua.

  2. Hata hivyo, ngano na jamii nyingine ya ngano hazikuharibiwa kwa sababu zilikuwa hazijakomaa bado.)