Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Hair: Worn long by women

2 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Worn long by women

  1. Naye kila mwanamke anayeomba au kutoa unabii pasipo kufunika kichwa chake, anakiaibisha kichwa chake, kwani ni sawa na yeye aliyenyoa nywele.

  2. Kama mwanamke hatajifunika kichwa chake, basi inampasa kunyoa nywele zake. Lakini kama ni aibu kwa mwanamke kukata au kunyoa nywele zake, basi afunike kichwa chake.