Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Gleaning: Instances of, Ruth in the field of Boaz

2 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Instances of, Ruth in the field of Boaz

  1. Ruthu, Mmoabu, akamwambia Naomi, “Nitakwenda mashambani nikaokote mabaki ya nafaka nyuma ya yule nitakayepata kibali machoni pake.” Naomi akamwambia, “Nenda, binti yangu.”

  2. Basi akaenda, akaokota mabaki ya nafaka mashambani nyuma ya wavunaji. Ikatokea kwamba alijikuta anafanya kazi kwenye shamba lililokuwa mali ya Boazi, ambaye alitoka kwenye ukoo wa Elimeleki.