Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Geshur: Absalom takes refuge in, after the murder of Amnon

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Absalom takes refuge in, after the murder of Amnon

  1. Absalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai mwana wa Amihudi, mfalme wa Geshuri. Lakini Mfalme Daudi akaomboleza kwa ajili ya mwanawe kila siku.

  2. Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu.