Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Fraternity

52 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Yeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza.

  2. Lakini yeyote amchukiaye ndugu yake, yuko gizani na anaenenda gizani, wala hajui anakokwenda, kwa sababu giza limempofusha macho.