Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu First Fruits: First ripe of fruits, grain, oil, wine, and first of fleece, required as an offering

5 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu First ripe of fruits, grain, oil, wine, and first of fleece, required as an offering

  1. Unaweza kuzileta kwa Bwana kama sadaka ya malimbuko, lakini haziwezi kutolewa juu ya madhabahu kama harufu nzuri ya kupendeza.

  2. Koleza sadaka zako zote za nafaka kwa chumvi. Usiache kuweka chumvi ya Agano la Mungu wako katika sadaka zako za nafaka; weka chumvi kwenye sadaka zako zote.

  3. “ ‘Kama ukileta malimbuko ya sadaka ya nafaka kwa Bwana, utatoa masuke yaliyopondwa ya nafaka mpya iliyookwa kwa moto.

  4. Weka mafuta na uvumba juu yake; ni sadaka ya nafaka.

  5. Kuhani atateketeza ile sehemu ya kumbukumbu kutoka kwenye hiyo sadaka ya nafaka iliyopondwa kwa mafuta, pamoja na uvumba wote, kama sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa moto.