Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Fasting: Afflictions of the Church

3 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Afflictions of the Church

  1. Wakamwambia Yesu, “Wanafunzi wa Yohana na wa Mafarisayo mara kwa mara hufunga na kuomba, lakini wanafunzi wako wanaendelea kula na kunywa.”

  2. Yesu akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?

  3. Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga.”