Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Famine

101 mistari · 51 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Nikatazama, na hapo mbele yangu alikuwepo farasi mwenye rangi ya kijivujivu! Yeye aliyempanda aliitwa Mauti, naye Kuzimu alikuwa akimfuata nyuma yake kwa karibu. Wakapewa mamlaka juu ya robo ya dunia, kuua kwa upanga, njaa, tauni na kwa wanyama wakali wa dunia.