Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Eliab: 1. A Reubenite, progenitor of Dathan and Abiram

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu 1. A Reubenite, progenitor of Dathan and Abiram

  1. Mwana wa Palu alikuwa Eliabu,

  2. nao wana wa Eliabu walikuwa Nemueli, Dathani na Abiramu. Hawa wawili Dathani na Abiramu ndio walikuwa maafisa wa jumuiya ambao walimwasi Mose na Aroni, na walikuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora wakati walimwasi Bwana.