Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Early Rising: Neglect of, leads to poverty

3 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Neglect of, leads to poverty

  1. Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?

  2. Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

  3. hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.