Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Duty Toward The Afflicted: To comfort them

4 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu To comfort them

  1. Lakini kinywa changu kingewatia moyo; faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu.

  2. Niliwachagulia njia na kukaa kama mkuu wao; niliishi kama mfalme katikati ya majeshi yake; nikawa kama yeye anayewafariji waombolezaji.

  3. Yeye hutufariji katika taabu zetu, ili tuweze kuwafariji walio katika taabu yoyote kwa faraja ambayo sisi wenyewe tumepokea kutoka kwa Mungu.

  4. Kwa hiyo farijianeni kwa maneno haya.