Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Dreams: Prosperity of sinners

4 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Prosperity of sinners

  1. macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu.

  2. Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni na kichwa chake hugusa mawingu,

  3. ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’

  4. Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, amefukuziwa mbali kama maono ya usiku.