Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Discipline of the Church: Removing obstinate offenders

3 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu Removing obstinate offenders

  1. Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika roho. Nami nimekwisha kumhukumu mtu huyo aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwepo.

  2. Mnapokutana katika Jina la Bwana wetu Yesu nami nikiwepo pamoja nanyi katika roho na uweza wa Bwana Yesu ukiwepo,

  3. mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, ili roho yake iokolewe katika siku ya Bwana.