Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Discipline of the Church

6 mistari · 10 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika roho. Nami nimekwisha kumhukumu mtu huyo aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwepo.

  2. Mnapokutana katika Jina la Bwana wetu Yesu nami nikiwepo pamoja nanyi katika roho na uweza wa Bwana Yesu ukiwepo,

  3. mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, ili roho yake iokolewe katika siku ya Bwana.

  4. Adhabu hii aliyopewa na wengi inamtosha.

  5. Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi.

  6. Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake.