Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Demons

28 mistari · 15 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Basi palikuwa na vita mbinguni: Mikaeli na malaika zake wakapigana na hilo joka, nalo joka pamoja na malaika zake likapigana nao.

  2. Lakini joka na malaika zake wakashindwa, na hapakuwa tena na nafasi yao huko mbinguni.

  3. Lile joka kuu likatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye ibilisi au Shetani, aupotoshaye ulimwengu wote. Akatupwa chini duniani, yeye pamoja na malaika zake.