Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Demons: Testify to the divinity of Jesus

2 mistari · 15 vipengele

Mistari kuhusu Testify to the divinity of Jesus

  1. Wakati huo huo katika sinagogi lao palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu,

  2. naye akapiga kelele akisema, “Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakujua wewe ni nani. Wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu!”