Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Conversation

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka hazina ya mambo mema yaliyohifadhiwa ndani yake, naye mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutoka hazina ya mambo maovu yaliyohifadhiwa ndani yake.

  2. Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.

  3. Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.”