Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Compared To Saints: The sun

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu The sun

  1. “Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! Bali wote wakupendao na wawe kama jua lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.

  2. Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie.