Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Communion of Saints: Paul

3 mistari · 22 vipengele

Tafuta "Communion of Saints"

Mistari kuhusu Paul

  1. Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba.

  2. Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,

  3. Kilichowahuzunisha zaidi ni kwa sababu ya yale maneno aliyosema kwamba kamwe hawatauona uso wake tena. Wakaenda naye mpaka kwenye meli.