Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Cock Crowing

2 mistari

Tafuta "Cock Crowing"

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Ndipo Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui mtu huyo!” Papo hapo jogoo akawika.

  2. Ndipo Petro akakumbuka lile neno Yesu alilokuwa amesema: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi.