Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Betrayal: Of cities

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Of cities

  1. wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”

  2. Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.