Mistari ya Biblia kuhusu Beth-Baal-Meon: Subdued by the Israelites
Mistari kuhusu Subdued by the Israelites
“Atarothi, Diboni, Yazeri, Nimra, Heshboni, Eleale, Sebamu, Nebo na Beoni,
nchi ambayo Bwana ameishinda mbele ya wana wa Israeli, inafaa kwa mifugo, nao watumishi wako wana mifugo.