Mistari ya Biblia kuhusu Baptism: Sanctioned by Christ's submission to it
Mistari kuhusu Sanctioned by Christ's submission to it
Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Mto Yordani ili Yohana ambatize.
Lakini Yohana akajitahidi kumzuia, akimwambia, “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu nikubatize?”
Lakini Yesu akamjibu, “Kubali hivi sasa, kwa maana ndivyo itupasavyo kwa njia hii kuitimiza haki yote.” Hivyo Yohana akakubali.