Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Atad: The place where the sons of Jacob mourned for their father.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu The place where the sons of Jacob mourned for their father.

  1. Walipofika kwenye sakafu ya kupuria nafaka ya Atadi, karibu na Yordani, wakalia kwa sauti na kwa uchungu; Yosefu akapumzika huko kwa siku saba kumwombolezea baba yake.

  2. Wakanaani walioishi huko walipoona maombolezo yaliyofanyika katika sakafu ile ya kupuria ya Atadi, wakasema, “Wamisri wanafanya maombolezo makubwa.” Kwa hiyo mahali pale karibu na Yordani pakaitwa Abel-Mizraimu.