Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Arrows: At a mark for amusement

3 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu At a mark for amusement

  1. Nitapiga mishale mitatu kando yake, kama kwamba nilikwenda kulenga shabaha.

  2. Kisha nitamtuma mvulana na kumwambia, ‘Nenda ukaitafute mishale.’ Kama nikimwambia, ‘Tazama mishale iko upande huu wako! Uilete hapa,’ basi uje, kwa sababu hakika kama Bwana aishivyo, wewe ni salama, hakuna hatari.

  3. Lakini kama nikimwambia huyo mvulana, ‘Angalia, mishale iko mbele yako,’ basi inakupasa uondoke, kwa sababu Bwana amekuruhusu uende zako.