Mistari ya Biblia kuhusu Ambassadors: Ahaz to Tiglath
Mistari kuhusu Ahaz to Tiglath
Ahazi akatuma wajumbe kumwambia Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru kwamba, “Mimi ni mtumishi na mtumwa wako. Njoo na uniokoe kutoka mkononi mwa mfalme wa Aramu na wa mfalme wa Israeli, ambao wananishambulia.”