Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Amasai: 2. Leader of a body of men disaffected toward Saul, who joined David

1 mstari · 4 vipengele

Mistari kuhusu 2. Leader of a body of men disaffected toward Saul, who joined David

  1. Kisha Roho akaja juu ya Amasai, mkuu wa wale Thelathini, naye akasema: “Sisi tu watu wako, ee Daudi! Nasi tuko pamoja na wewe, ee mwana wa Yese! Ushindi, naam, ushindi uwe kwako, pia ushindi kwa wale walio upande wako, kwa kuwa Mungu wako atakusaidia.” Kwa hiyo Daudi akawapokea na kuwafanya viongozi wa vikosi vyake vya uvamizi.