Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Aloes: Used as perfume

3 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Used as perfume

  1. Mavazi yako yote yana harufu nzuri ya manemane, udi na mdalasini; kutoka kwenye majumba ya kifalme yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, sauti za vinanda vya nyuzi zinakufanya ufurahi.

  2. Nimetia manukato kitanda changu kwa manemane, udi na mdalasini.

  3. nardo na zafarani, mchai na mdalasini, pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, manemane na udi, na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote.