Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Abortion

4 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. “Ikiwa watu wawili wanapigana na wakamuumiza mwanamke mjamzito, naye akazaa kabla ya wakati lakini hakuna majeraha makubwa, mhalifu atatozwa mali kiasi cha madai ya mume wa yule mwanamke, na jinsi mahakama itakavyoamua.

  2. Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,

  3. Sauti ya Bwana huzalisha ayala, na huuacha msitu wazi. Hekaluni mwake wote wasema, “Utukufu!”

  4. Wape, Ee Bwana, je, utawapa nini? Wape matumbo ya kuharibu mimba na matiti yaliyokauka.