Mistari ya Biblia kuhusu Abishai: One of David's chief men
Mistari kuhusu One of David's chief men
Abishai ndugu yake Yoabu mwana wa Seruya ndiye alikuwa kiongozi wa hao Watatu. Aliinua mkuki wake dhidi ya watu 300 ambao aliwaua, kwa hiyo naye akawa na sifa kama hao Watatu.