Skip to content

Senir

4 verses · 2 known names

Anajulikana pia kama: Shenir

33.4100, 35.8500 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Senir

  1. (Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.)

  2. Idadi ya nusu ya kabila la Manase walikuwa wengi sana, Wakakaa kuanzia Bashani hadi Baal-Hermoni, yaani mpaka Seniri na mlima Hermoni.

  3. Enda nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu, enda nami kutoka Lebanoni. Shuka kutoka ncha ya Amana, kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni, kutoka mapango ya simba na kutoka mlima wapendapo kukaa chui.

  4. Walizifanya mbao zako zote kwa misunobari itokayo Seniri; walichukua mierezi kutoka Lebanoni kukutengenezea mlingoti.